Saturday, May 28, 2011

Baby bean......So funny

                                           Mr Bean!!!!!!!!!!!

Mtoto wenye nguvu China



Mwangalie mtoto mdogo kutoka China mwenye nguvu.
Ni too funny ukimuona.Au wachina wamemchaka......?

Friday, May 27, 2011

Do u remember Police Academy????

UNAWAKUMBUKA HAWA??
Marion Ramsey as Cadet Laverne Hooks

Steve Guttenberg as Cadet Carey Mahoney

Michael Winslow as Cadet Larvell Jones

Leslie Easterbrook as Sgt. Debbie Callahan
David Graf as Cadet Eugene Tackleberry
George Gaynes as Commandant Eric Lassard

Bubba Smith as Cadet Moses Hightower

G.W.Bailey as Lt.Thaddeus Harris

Donavan Scott as Cadet Leslie Barbara

Thursday, May 26, 2011

Pirates of Carribean-On stranger tides

Go n watch this movie itaanza kuoneshwa kesho tarehe 27 may.I hope utojuta coz inaonekana ni bomba la movie...

It's all about maujanja....check keki hizo.wadada zinafaa kwa kitchen partyyyyy..


Shule naipenda shule naipenda.....but kwa style hii mmh

Wow! Kim K engaged!

Kim Kardashian amekuwa engaged na boyfriend waliodumu kwa six months, mchezaji wa NBA Kris Humphries.
Kriss akuchelewesha na kumwambia Kim 'will you marry me'.Ni jambo la kheri kuambiwa neno hilo na unaempenda.God bless u Kim

Wednesday, May 25, 2011

Tuesday, May 24, 2011

Justin Bieber & Selena Gomez happy moment katika The Billboard Music Awards 2011




                           Selena Gomes,sweet luv wa Justine Bieber

hang over 2

Movie imetoka mpya ya hang over 2 na kuna new member Monkey.This time ndani ya Bangkok Thailand wanaserebrate harusi ya Stu.For more itafute...............

Friday, May 13, 2011

Tangled

“Tangled” a.k.a Rapunzel ni brand new movie kutoka Walt Disney Animation Studios.Rapunzel ni princess ambaye ana nywele ndefu na maisha yake alikulia kwenye mnara mrefu ambao alikuwa akiishi na mama ambaye alimuiba na kuishi nae huko.Thanx to kibaka ambaye aliingia kwenye mnara huo….For more itafute.
c

Thursday, May 12, 2011

Ondoa Chunusi, Makovu na Mafuta usoni!!!!

tumia Dr. Miracle  My Goodbye Acne system kwa kuondoa mafuta,chunusi na makovu usoni.sura ionekane kijana..........kijana mvuto ndio wake.Inapatikana maduka makubwa ya vipodozi bei chee.

Wednesday, May 11, 2011

American Idol

American Idol top five hiyo....
Baada ya heka heka.Conglatsssssssss Jacob kwa kuingia Top four.Jamaa kanusurika kuchapa lapa

X-Members inatisha man!!!!!!!!!

Hilo kundi la X-members linapatikana pande za Loyola High.Ni noma kwa kuimba Jomba.Kundi linawakilishwa na Cash $, sir Phil n Torgizzle........
Cash $ akiwa na Sir Phil ndani ya A-Town a.k.a Hip Hop City

Tuesday, May 10, 2011

Interview na Robert Pattinson

Maswali machache yaliyotwangwa kwa Robert a.k.a mr twilight or mr vampire hivi ndivyo ilivyokuwa jombaa:
Ni celebrity gani unayevutiwa nae? Kristen Stewart
Ni kitu gani kinakuchanganya katika fashion za mwanamke? Uug boots!
Kitu gani unachokipenda kucheza? Piano
Mtu gani ambaye utapenda kukutana nae na kubonga nae at least one day? President George Bush
Ni nani upo karibu nae katika familia? my dog Patty
Website gani unailavu? YouTube
Chakula gani unapenda maaan? Burger
Tabia gani uipendi? Kuongea sanaaa 
Ni song gani unapenda kusikiliza hasa kwenye iPod yako? James Brown kutoka kwa Black Caesar sound track.
Kitu gani mara ya mwisho kununua?Toilet paper
Last night ulidream nini?Nilimuota Kristen
Swali la kizushi,Pochi lako lina how much? Thousands of dollars?

Monday, May 9, 2011

Full viatu

                                                   dotdot style ndio inashika chati now...

Bieber ndani ya supra

KITU CHA SUPRA



Kuna aina tofauti ya viatu vya kiume bt hivi ndio vinashika chat now...ukivaa supra unaonekana bomba la mjanja town hapa then unamechisha kama vipi katika shati au tshirt...unatoka mwake..

Try to share something with me...

Mambo mdada na mkaka.U can share something with me kuhusu teenagers,collage life,fashion or vitu mbalimbali then unaweza kunitumia picha na maelezo mafupi ya picha yako au picha zako then nakurusha kwenye this blog.
nitumie kwenye ma email annualdo81@gmail.com
Kiatu kizuri lol....unaweza kuvalia na type yoyote ya nguo