Wednesday, July 13, 2011

Cry fo help!!!!


Anaitwa Mwajuma anaumri wa miaka 12. Mwajuma ni mtoto yatima na sasa anaishi na shangazi yake.Tokea alipozaliwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo.Anahitajika kupatiwa matibabu nchini india. Tumefanikiwa kupeleka file lake wizara ya Afya kwa msaada wa kupelekwa India...majibu bado hayajatolewa na tunatumahi watatusaidia.Ndugu zangu kwa yeyote anaehitaji kutoa msaada wa hali na mali naomba amsaidie. Kutoa ni moyo si utajiri....Asanteni

Monday, June 27, 2011

Lady Gaga ashitakiwa

Lady Gaga anaweza kuingia mahakamani baada ya kushitakuwa kwa kutotoa mchango alioahidi kwenye tetemeko lililotokeaa Japane .....

Very Amazing Jennifer...From size 16 to 6..

Saturday, May 28, 2011

Baby bean......So funny

                                           Mr Bean!!!!!!!!!!!

Mtoto wenye nguvu China



Mwangalie mtoto mdogo kutoka China mwenye nguvu.
Ni too funny ukimuona.Au wachina wamemchaka......?