Tuesday, May 10, 2011

Interview na Robert Pattinson

Maswali machache yaliyotwangwa kwa Robert a.k.a mr twilight or mr vampire hivi ndivyo ilivyokuwa jombaa:
Ni celebrity gani unayevutiwa nae? Kristen Stewart
Ni kitu gani kinakuchanganya katika fashion za mwanamke? Uug boots!
Kitu gani unachokipenda kucheza? Piano
Mtu gani ambaye utapenda kukutana nae na kubonga nae at least one day? President George Bush
Ni nani upo karibu nae katika familia? my dog Patty
Website gani unailavu? YouTube
Chakula gani unapenda maaan? Burger
Tabia gani uipendi? Kuongea sanaaa 
Ni song gani unapenda kusikiliza hasa kwenye iPod yako? James Brown kutoka kwa Black Caesar sound track.
Kitu gani mara ya mwisho kununua?Toilet paper
Last night ulidream nini?Nilimuota Kristen
Swali la kizushi,Pochi lako lina how much? Thousands of dollars?

No comments: