It's time ma dear girls kwenda na wakati mambo ya beach hayo
Style nzuri ya nywele kama nywele zako ndefu unaziachia na unaweza kuzibana pia na ukatoka bomba pia...
LEGGINGS
Ukivaa Leggings unaonekana bomba na mwenye mvuto.Try kidogo uone.....
During this rain season unaweza kupiga mapigo hayo hapo coz ni plastic utaavoid viatu vyako vya kawaida kuharibika.