Anaitwa Mwajuma anaumri wa miaka 12. Mwajuma ni mtoto yatima na sasa anaishi na shangazi yake.Tokea alipozaliwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo.Anahitajika kupatiwa matibabu nchini india. Tumefanikiwa kupeleka file lake wizara ya Afya kwa msaada wa kupelekwa India...majibu bado hayajatolewa na tunatumahi watatusaidia.Ndugu zangu kwa yeyote anaehitaji kutoa msaada wa hali na mali naomba amsaidie. Kutoa ni moyo si utajiri....Asanteni
No comments:
Post a Comment