Wednesday, May 11, 2011

X-Members inatisha man!!!!!!!!!

Hilo kundi la X-members linapatikana pande za Loyola High.Ni noma kwa kuimba Jomba.Kundi linawakilishwa na Cash $, sir Phil n Torgizzle........
Cash $ akiwa na Sir Phil ndani ya A-Town a.k.a Hip Hop City

1 comment:

Anonymous said...

nataka niwe Promoter wao...wapo tayari kupiga mzigo