Wednesday, July 13, 2011
Cry fo help!!!!
Anaitwa Mwajuma anaumri wa miaka 12. Mwajuma ni mtoto yatima na sasa anaishi na shangazi yake.Tokea alipozaliwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo.Anahitajika kupatiwa matibabu nchini india. Tumefanikiwa kupeleka file lake wizara ya Afya kwa msaada wa kupelekwa India...majibu bado hayajatolewa na tunatumahi watatusaidia.Ndugu zangu kwa yeyote anaehitaji kutoa msaada wa hali na mali naomba amsaidie. Kutoa ni moyo si utajiri....Asanteni
Monday, June 27, 2011
Lady Gaga ashitakiwa
Lady Gaga anaweza kuingia mahakamani baada ya kushitakuwa kwa kutotoa mchango alioahidi kwenye tetemeko lililotokeaa Japane .....
Friday, June 10, 2011
Thursday, June 2, 2011
Rumors about Will Smith
Tetesi kuhusu Will Smith Kudead ni uongo....more details http://www.hollyclare.com/372-film-news-could-robin-hood-be-will-smiths-next-great-role.html
Saturday, May 28, 2011
Friday, May 27, 2011
Do u remember Police Academy????
UNAWAKUMBUKA HAWA??
Marion Ramsey as Cadet Laverne Hooks
Steve Guttenberg as Cadet Carey Mahoney
Michael Winslow as Cadet Larvell Jones
Leslie Easterbrook as Sgt. Debbie Callahan
David Graf as Cadet Eugene Tackleberry
George Gaynes as Commandant Eric Lassard
Bubba Smith as Cadet Moses Hightower
G.W.Bailey as Lt.Thaddeus Harris
Donavan Scott as Cadet Leslie Barbara
Thursday, May 26, 2011
Pirates of Carribean-On stranger tides
Go n watch this movie itaanza kuoneshwa kesho tarehe 27 may.I hope utojuta coz inaonekana ni bomba la movie...
Wow! Kim K engaged!
Kim Kardashian amekuwa engaged na boyfriend waliodumu kwa six months, mchezaji wa NBA Kris Humphries.
Kriss akuchelewesha na kumwambia Kim 'will you marry me'.Ni jambo la kheri kuambiwa neno hilo na unaempenda.God bless u Kim
Kriss akuchelewesha na kumwambia Kim 'will you marry me'.Ni jambo la kheri kuambiwa neno hilo na unaempenda.God bless u Kim
Wednesday, May 25, 2011
Tuesday, May 24, 2011
Justin Bieber & Selena Gomez happy moment katika The Billboard Music Awards 2011
hang over 2
Movie imetoka mpya ya hang over 2 na kuna new member Monkey.This time ndani ya Bangkok Thailand wanaserebrate harusi ya Stu.For more itafute...............
Saturday, May 14, 2011
Friday, May 13, 2011
Tangled
“Tangled” a.k.a Rapunzel ni brand new movie kutoka Walt Disney Animation Studios.Rapunzel ni princess ambaye ana nywele ndefu na maisha yake alikulia kwenye mnara mrefu ambao alikuwa akiishi na mama ambaye alimuiba na kuishi nae huko.Thanx to kibaka ambaye aliingia kwenye mnara huo….For more itafute.
c
Thursday, May 12, 2011
Ondoa Chunusi, Makovu na Mafuta usoni!!!!
tumia Dr. Miracle My Goodbye Acne system kwa kuondoa mafuta,chunusi na makovu usoni.sura ionekane kijana..........kijana mvuto ndio wake.Inapatikana maduka makubwa ya vipodozi bei chee.
Wednesday, May 11, 2011
American Idol
American Idol top five hiyo....
Baada ya heka heka.Conglatsssssssss Jacob kwa kuingia Top four.Jamaa kanusurika kuchapa lapa
X-Members inatisha man!!!!!!!!!
Hilo kundi la X-members linapatikana pande za Loyola High.Ni noma kwa kuimba Jomba.Kundi linawakilishwa na Cash $, sir Phil n Torgizzle........
Cash $ akiwa na Sir Phil ndani ya A-Town a.k.a Hip Hop City
Tuesday, May 10, 2011
Interview na Robert Pattinson
Maswali machache yaliyotwangwa kwa Robert a.k.a mr twilight or mr vampire hivi ndivyo ilivyokuwa jombaa:
Ni celebrity gani unayevutiwa nae? Kristen Stewart
Ni kitu gani kinakuchanganya katika fashion za mwanamke? Uug boots!
Kitu gani unachokipenda kucheza? Piano
Mtu gani ambaye utapenda kukutana nae na kubonga nae at least one day? President George Bush
Ni nani upo karibu nae katika familia? my dog Patty
Website gani unailavu? YouTube
Chakula gani unapenda maaan? Burger
Tabia gani uipendi? Kuongea sanaaa
Ni song gani unapenda kusikiliza hasa kwenye iPod yako? James Brown kutoka kwa Black Caesar sound track.
Kitu gani mara ya mwisho kununua?Toilet paper
Last night ulidream nini?Nilimuota Kristen
Swali la kizushi,Pochi lako lina how much? Thousands of dollars?
Monday, May 9, 2011
KITU CHA SUPRA
Kuna aina tofauti ya viatu vya kiume bt hivi ndio vinashika chat now...ukivaa supra unaonekana bomba la mjanja town hapa then unamechisha kama vipi katika shati au tshirt...unatoka mwake..
Try to share something with me...
Mambo mdada na mkaka.U can share something with me kuhusu teenagers,collage life,fashion or vitu mbalimbali then unaweza kunitumia picha na maelezo mafupi ya picha yako au picha zako then nakurusha kwenye this blog.
nitumie kwenye ma email annualdo81@gmail.com
nitumie kwenye ma email annualdo81@gmail.com
Subscribe to:
Posts (Atom)